Serikali ya kitaifa imeraiwa itafute suluhu ya mgogoro wa ardhi ya ekari 8000 ya Oljorai

  • | K24 Video
    49 views

    Serikali ya kitaifa imeraiwa itafute suluhu ya haraka ya mgogoro wa ardhi ya ekari 8000 ya Oljorai eneo la Gilgil. Kisa cha hivi punde ambapo makao katika vijiji tofauti yalivamiwa, nyumba kuchomwa, mifugo kuuliwa na wakazi kunusurika kifo kimeibua hali ya wasiwasihuku shughuli za kawaida zikiathirika na baadhi ya shule kufungwa. Taswira ya mzozo wa Oljorai.