Takriban watu 177 wamefariki baada ya ndege waliokuwemo kuanguka ilipokuwa ikitua katika uwanja wa ndege nchini Korea Kusini.
-
Ndege hiyo aina ya Boeing 737-800 - inayoendeshwa na shirika la ndege la Jeju Air - ilikuwa na abiria 175 na wahudumu 6 (181) na ilikuwa ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Muan kutoka Bangkok, Thailand ilipopatwa na matatizo ya injini na kulazimika kutua kwa dharura kwa mujibu wa utawala.
-
Uchunguzi wa chanzo cha ajali umeanzishwa.
#jejuair
#ajali #bbcswahili #familia #azerbaijanairlines #azerbaijan #aktau #bbcswahilileo #tanzania #kenya
20 Apr 2025
- A 3-year-old boy was found dead in Wich-Lum area, Siaya County on Saturday evening. The toddler is suspected to have been murdered by his father following a domestic squabble.
20 Apr 2025
- At least 11 people, including three children, were killed in New Delhi Saturday after a residential building collapsed on the outskirts of the Indian capital, local reports and authorities said.
20 Apr 2025
- The US Supreme Court, in a dramatic nighttime intervention Saturday, blocked President Donald Trump's unprecedented use of an obscure law to deport Venezuelan migrants without due process.
20 Apr 2025
- Pope Francis is expected to delight Catholics all over the world during Easter celebrations at the Vatican on Sunday, just weeks after he was fighting for his life in hospital while suffering from pneumonia.
20 Apr 2025
- Global tax plans targeting billionaires and multinational companies are running aground, with the United States torpedoing reforms under President Donald Trump.