Mbunge Beatrice Elachi awataka wazazi wakiombee kizazi cha Gen Z

  • | K24 Video
    58 views

    Mbunge wa Dagoretti kaskazini Beatrice Elachi amewataka wazazi wakiombee kizazi cha Gen Z huku akifunguka kuhusu dakika za mwisho kabla ya kifo cha mwanawe Elvis Namenya. Katika misa ya wafu ya Elvis iliyoandaliwa katika kanisa katoliki la holy trinity eneo la kileleshwa, viongozi mbali mbali walijumuika kuomboleza na familia ya Elachi huku wakionywa dhidi ya kuendeleza siasa kanisani.