Skip to main content
Skip to main content

Adhana ya kichina yawa gumzo

  • | BBC Swahili
    12,102 views
    Duration: 49s
    Video inayoonesha kiongozi wa kidini wa Irani, Amirhossein Javaheri, akitoa adhana lugha ya Kichina ilizua kicheko kikubwa, imeshirikishwa sana nchini Iran. - Javaheri anahimiza Uislamu kwa Kichina na mara kwa mara hushiriki shughuli zake kwenye mtandao wa Instagram. Waislamu nchini China, kama ilivyo kwa Waislamu wengi duniani, kwa kawaida hufanya adhana na sala kwa lugha ya Kiarabu, ingawa hotuba za kidini zinaweza kufanywa kwa Mandarin au Uyghur, kulingana na eneo. - - #bbcswahili #waislamu #China Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw