Skip to main content
Skip to main content

Uchunguzi wa mauaji ya Antony Otieno mwendesha boda boda aliyeuwawa South B yaendelea

  • | Citizen TV
    45,955 views
    Duration: 4:18
    Katika siku ya pili ya uchunguzi wa mauaji ya Antony Otieno mwendesha boda boda na mfanyi biashara wa kuwasilisha bidhaa zilizonunuliwa mtandaoni katika chumba cha kukodisha mtaani South B, runinga ya Citizen ilipata kanda za CCTV zikionyesha namna Antony alivyoingia ndani ya ghorofa hiyo kwa jina Meridian akiwa hai kabla ya kukumbana na mauti.