Skip to main content
Skip to main content

CCTV yaonyesha mwanaboda boda Antony Otieno akiingia chumba cha kukodisha kabla ya kuuawa

  • | Citizen TV
    19,114 views
    Duration: 4:09
    Katika siku ya pili ya uchunguzi wa mauaji ya Antony Otieno mwendesha boda boda na mfanyi biashara wa kuwasilisha bidhaa zilizonunuliwa mtandaoni katika chumba cha kukodisha mtaani South B , runinga ya citizen imepata kanda za CCTV zikionyesha namna antony alivyoingia ndani ya orofa hiyo kwa jina meridian akiwa hai kabla ya kukumbana na mauti