Afisa gereza afungwa kwa kufanya mapenzi na mfungwa

  • | BBC Swahili
    1,329 views
    Afisa wa zamani wa gereza la Wandsworth ambaye alirekodiwa akifanya mapenzi na mfungwa amefungwa jela miezi 15. Linda De Sousa Abreu, 30, alitambuliwa na wafanyakazi wakuu wa magereza baada ya video hiyo kusambaa mitandaoni. Alikiri makosa ya utovu wa nidhamu katika ofisi ya umma mwezi Julai. #bbcswahili #uingereza #sheria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw