Afisa Kilifi atoa ushahidi kuhusu kesi ya ulaghai ya milioni 32

  • | NTV Video
    156 views

    Afisa katika kitengo cha ujasusi kaunti ya Kilifi, Phelix Oduya, alitoa ushahidi mbele ya mahakama ya Kilifi, akielezea kesi ya ulaghai ya shilingi milioni 32 iliyoratibiwa na raia wawili wa Italia, Daniele Lo Coco na Massimo Nativi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya