Afisa wa polisi aliyevalia 'Grinch' akamata dawa za kulevya

  • | BBC Swahili
    642 views
    Tazama Afisa wa polisi aliyevalia vazi la 'Grinch' akifanya uvamizi wa kukamata dawa za kulevya huko Lima, Peru. Video inayosambazwa na polisi inaonyesha maafisa wakivunja mlango kabla ya kuingia ndani ya nyumba. Watu watatu walikamatwa na pakiti chache za kokeini wakati wa uvamizi huo. #bbcswahili #peru #dawazakulevya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw