Afisa wa polisi auawa katika mapambano dhidi ya magenge Haiti

  • | NTV Video
    2,883 views

    Afisa wa polisi ambaye amekuwa miongoni mwa mamia ya polisi wanaokabiliana na magenge huko Haiti ameuauwa. Afisa huyo aliaga jana Jumapili kutokana na majereha mabaya ya risasi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya