Afrika mashariki inawezaje kujitegemea kiuchumi? katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    6,490 views
    Eneo la Afrika Mashariki na upembe wa Afrika limejipata katika hali ya kutokota kisiasa na kiusalama katika baadhi ya mataifa, huku juhudi za kutafuta amani zikiendelea. Tunatathimini athari ya mizozo hii kwa uchumi wa eneo la Afrika na hatua za kuendeleza bara zima kwa ujumla.