- 2,832 viewsDuration: 8:36Bei ya dhahabu imepanda na kufikia kiwango cha juu zaidi kabisa cha zaidi ya dola 4,200 kwa kila aunsi (sawa na gramu 28), huku wawekezaji wakitafuta maeneo salama ya kuwekeza fedha zao kutokana na wasiwasi kuhusu hali ya kiuchumi na kisiasa duniani. #dhahabu #Tanzania #Kenya #Uganda #bbcswahili #bbcswahilileo #dirayaduniatv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw