- 39 viewsWakati wito wa kutaka uwekezaji zaidi katika miradi inayosaidia shughuli za maendeleo endelevu ikiwemo utunzaji wa mazingira ukitolewa mara kadhaa na Umoja wa mataifa, Nchini Tanzania jitihada za namna hiyo zimeanza kuchagizwa na sekta binafsi, huku Rais wa taifa hilo akiyataka mataifa ya Afrika kuanza kuchukua hatua yenyewe kuweka fedha kwa ajili hiyo. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Afrika yatakiwa yachukua jukumu la uwekezaji katika miradi ya utunzaji mazingira
- - Duniani Leo ››
- 30 Nov 2024 - Swaleh Yusuf was found dead on March 17, 2024, his lover Fatuma was recently jailed for 40 years and fined Sh826m for the crime.
- 30 Nov 2024 - This is not the first time the former CS is landing a state job since he was fired by former President Uhuru Kenyatta.
- 30 Nov 2024 - Kenya Cup: Menengai Oilers eye consistency ahead of Strathmore Leos test
- 30 Nov 2024 - The government has continued to defend the rollout of SHA, with more money being spent on a nationwide campaign.
- 30 Nov 2024 - The president has been making a series of appointments in government bodies.
- 30 Nov 2024 - Parents shocker as State stops student mid-year transfers
- 30 Nov 2024 - Joyce Akinyi: From hotel owner and now convicted heroin trafficker
- 30 Nov 2024 - Builders, construction firms protest planned 35pc duty on tiles
- 30 Nov 2024 - 2027: Year of judgement for broken promises, litany of lies
- 30 Nov 2024 - Nakuru South Cemetery: A final resting place where the dead no longer find peace