Afya ya uzazi : Masaibu ya waathiriwa wa Endemetriosis yaangaziwa

  • | KBC Video
    4 views

    Masaibu yanayowakumba wanawake na wasichana wapatao milioni 1.2 walio na ugonjwa wa endometriosis humu nchini yaliangaziwa wakati wa kikao cha uhamasisho kuhusu ugonjwa huo. Naibu profesa katika kitengo cha huduma za uzazi katika chuo kikuu cha Aga Khan Dr. Charles Muteshi aliyehutubia kikao hicho alieleza dalili za ugonjwa huo kuwa maumivu makali ambayo huathiri sio tu afya ya mwili mbali pia afya ya akili ya waathiriwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News