AGOA ni nini na je ipo hatarini?

  • | BBC Swahili
    2,057 views
    Ushuru wa juu uliowekwa na Donald Trump umeiweka mashakani mustakabali wa makubaliano ya kibiashara kati ya baadhi ya nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara na Marekani. Makubaliano hayo kupitia AGOA, yaliwezesha nchi kama Lesotho, Madagascar, na Botswana kuongeza mauzo ya bidhaa zao mara mbili kwenda Marekani huku yakizalisha maelfu ya ajira barani Afrika. Lakini, AGOA ni nini na nani anafaidika nayo? Phillys Mwatee @_phillys anaelezea 🎥: @brianmala #bbcswahili #agoa #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw