Skip to main content
Skip to main content

Ahadi za wagombea hawa wa urais Tanzania zinatekelezeka?

  • | BBC Swahili
    10,272 views
    Duration: 2:49
    Wakati uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 ukikaribia nchini Tanzania, na kampeni za uchaguzi zikizidi kushika kasi. Kumejitokeza baadhi ya ahadi ambazo kwa baadhi ya zimewaacha vinywa wazi: Je ahadi hizo zinatekelezeka!? Martha Saranga anaelezea ahadi 5 zilizozua mjadala Tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw