Alikutana na Rais wa wakfu Darren Walker, New York

  • | Citizen TV
    508 views

    Rais William Ruto sasa ameonekana kupiga abautani kwenye msimamo wake kuhusiana na wakfu wa Ford, alioushutumu kwa kuchochea ghasia wakati wa maandamano dhidi ya serikali yake. Rais akionekana kuumiminia sifa wakfu huo, alipokutana na Rais wake Darren Walker jijini New York nchini Marekani.