Aliyekuwa gavana wa Nyandarua ahukumiwa kifungo cha miaka mbili kutokana na ufisadi

  • | TV 47
    234 views

    Aliyekuwa gavana wa Nyandarua ahukumiwa kifungo cha miaka mbili kutokana na ufisadi.

    Waithaka anatakiwa kutumikia kifungo hicho au alipe pesa milioni mbili taslimu.

    Gavana Waithaka amehukumiwa pamoja na aliyekuwa waziri wake Grace Gitonga.

    Kesi ni kutokana na utoaji zabuni kwa kampuni ya M/S Tahal consulting Engineers.

    Shilingi milioni hamsini zinasemekana kutumwa kwa akaunti moja nchini Israel. #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __