Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua sasa amtakia rais Ruto kila la kheri katika kazi yake

  • | Citizen TV
    9,308 views

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua Amevunja Kimya Chake Leo Kwa Mara Ya Kwanza Tangu Kuondolewa Afisini. Gachagua Amesema Yuko Tayari Kusonga Mbele Akimtakia Rais William Ruto Kila La Kheri Katika Kazi Yake. Akizungumza Kwenye Hafla Ya Mazishi Katika Kaunti Ya Kirinyaga, Gachagua Amewataka Waliosalia Uongozini Kutetea Maslahi Ya Wakenya. Na Kama Anavyoarifu Emmanuel Too, Gachagua Pia Amewataka Wabunge Kupitisha Miswada Ya Kuwasaidia Wakulima Kwa Kasi Sawa Na Ile Waliyotumia Kumfurusha Ofisini.