Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua asema kuna kikosi maalum kinachowateka nyara vijana

  • | Citizen TV
    7,162 views

    Aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anasema kuna kikosi maalum cha maafisa wa polisi anachodai kuwa kinahusika na kuwateka nyara wakenya. Gachagua aliyezungumza nyumbani kwake Mathira leo, akidai kikosi hicho kinaongozwa na jamaa kwa jina Abel, akisema rais William Ruto anafaa kubeba msalaba wa utekaji nyara