Alizaliwa Ufaransa lakini anatafuta fursa barani Afrika

  • | BBC Swahili
    0 views
    Katika hali ya kuongezeka kwa uzalendo, vurugu za polisi na mvutano wa kijamii nchini Ufaransa, baadhi ya vijana wa Kifaransa wenye asili ya Kiafrika wanageukia bara la Afrika wakitafuta, kile wanachosema, ni maisha bora. BBC Africa Eye inachunguza 'kuhama kimya kimya'', ikifuatilia safari zao kuelekea Senegal. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw