Amevunja rekodi ya dunia ya kuwa na sura yenye nywele nyingi zaidi.

  • | BBC Swahili
    44 views
    Lalit Patidar amevunja rekodi ya dunia ya kuwa na sura yenye nywele nyingi zaidi. Zaidi ya 95% ya uso wa kijana huyu wa kihindi mwenye umri wa miaka 18 umejaa nywele. Ana hali ya nadra sana inayoitwa hypertrichosis, pia inajulikana kama 'werewolf syndrome', ambayo husababisha ukuaji wa nywele nyingi. Kumekuwa na karibu kesi 50 zilizorekodiwa katika historia ya binadamu. 📹 Guinness World Records #bbcswahili #indian #rekodi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw