Ampath Uzima yatuma wafanyakazi likizo bila malipo kufuatia kusimamishwa kwa ufadhili

  • | NTV Video
    1,100 views

    Mpango wa Ampath Uzima unaofadhiliwa na serikali ya Marekani sasa umewatuma wafanyakazi wake wote likizo bila malipo kufuatia hatua ya Rais wa marerikani, Donald Trump kusimamisha ufadhili.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya