Ardhi ya msikiti wa Kongo

  • | Citizen TV
    420 views

    Mbunge wa kike wa kaunti ya Kwale Fatuma Masito na mwenzake wa Likoni Mishi Mboko wameitaka idara ya upelelezi wa jinai (DCI), tume ya adhi nchini (NLC) na tume ya maadili na kupambana na ufisadi (EACC) kuharakisha uchunguzi wa madai ya unyakuzi wa ardhi ya msikiti mkongwe wa Kongo ulioko Diani kaunti ya Kwale.