Timu 400 zinashiriki katika makala ya sita ya kipute cha Rausha Kipaji

  • | NTV Video
    241 views

    Makala ya sita ya kipute cha Rausha Kipaji yameingia siku yake ya pili hii leo katika uwanja wa shule ya upili ya wasichana na ya wavulana ya Nakuru.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya