- 125 viewsDuration: 2:17Takriban asilimia 30 ya wanawake kutoka familia masikini nchini Kenya wanashiriki katika uuzaji wa pombe ili kujikimu. Wakizungumzia takwimu hizo viongozi wa jamii ya Mlima Elgon sasa wanachukua hatua za kuhamasisha wajane kujiepusha na pombe kwa kuwapa biashara zitakazowapatia kipato. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive