Skip to main content
Skip to main content

Askofu Mkuu Kanisa Katoliki Dar es Salaam akashifu mauaji ya Tanzania

  • | Citizen TV
    7,387 views
    Duration: 2:53
    Mwenyekiti wa Tume ya haki na Amani ya baraza la Maaskofu Katoliki Nchini Tanzania Yuda Tadei Ruwaichi alikashifu ghasia za uchaguzi zilizoshuhudiwa nchini Tanzania. Akiongoza misa kwa waathiriwa wa ghasia hizo, Askofu huyu Mkuu wa Jimbo la Dar Es Salaam, alilaumu serikali kwa kutumia nguvu akisema adhabu kwa waandamanaji si Kifo. Na kama anavyoarifu Melita Oletenges, Rais wa zamani wa Botswana Ian Khama alikosoa uchaguzi huo akisema hatambui uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.