Atandi ajigamba kuwa mwadilifu

  • | NTV Video
    212 views

    Mwenyekiti wa kamati ya bajeti bungeni, Samuel Atandi, ameahidi kuhakikisha kuwa kuna ugavi sawa wa rasilimali za umma na kusisitiza kuwa kama mwenyekiti mpya wa kamati hiyo atahakikisha kuwa sehemu zote za nchi zinafaidika na rasilimali hizo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya