Athari za maandamano ya 'sufuria na vijiko' Msumbiji

  • | BBC Swahili
    0 views
    Kiongozi wa upinzani nchini Msumbiji Venancio Mondlane ametangaza siku tatu za maombolezo ya kuwakumbuka watu 50 ambao, kwa mujibu wake, waliuawa wakati wa wiki za maandamano kufuatia uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo. Wakati huo huo, Shirika la Human Rights Watch limeishutumu polisi kwa kuwaua watoto 15, baadhi yao wakiripotiwa kupigwa risasi kiholela wakiwa ndani ya nyumba zao. Mwandishi wa BBC wa masuala ya usalama barani Afrika Ian Wafula akiwa Maputo anaelezea. #bbcswahili #msumbiji #uchaguzimsumbiji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw