Azimio watofautiana kuhusu uteuzi wa wenzao serikalini

  • | Citizen TV
    11,884 views

    Mbunge wa kuria Magharibi Mathias Robi ametofautiana na Rais William Ruto Kwa kuwateuwa viongozi wa chama Cha ODM katika Baraza la Mawaziri.