11 Nov 2025 10:34 am | Citizen TV 277 views Duration: 1:24 Hali ya majonzi bado inawagubika wakazi wa Chesongoch, kaunti ya Elgeyo Marakwet ambao hadi sasa hawajawapata wapendwa wao waliofunikwa na udongo pamoja na mawe kwenye maporomoko ya ardhi wiki moja iliyopita.