11 Nov 2025 1:14 pm | Citizen TV 349 views Duration: 1:25 Hali ya majonzi bado inawagubika wakazi wa Chesongoch, kaunti ya Elgeyo Marakwet ambao hadi sasa hawajawapata wapendwa wao waliofunikwa na udongo pamoja na mawe kwenye maporomoko ya ardhi wiki moja iliyopita.