Baadhi ya viongozi wa Azimio wamuidhinisha Kalonzo kuwaongoza

  • | Citizen TV
    2,429 views

    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka amesisitiza kuwa yeye sasa ndiye kiongozi rasmi wa upinzani akitaja hatua ya chama cha ODM kushirikiana na serikali kuwa njama ya kumaliza upinzani nchini. Vinara wa Wiper waliokuwa wakizungumza katika kaunti ya Nyeri wamesema kuwa baraza jipya la mawaziri linaenda kinyume na matakwa ya waandamanaji wa kizazi cha Gen-Z