Baadhi ya viongozi wa Kajiado wapinga chanjo kwa mifugo

  • | Citizen TV
    1,054 views

    Huku zikiwa zimesalia siku chache kabla ya serikali kuanza kutekeleza mpango wake wa kuwachanja mifugo zaidi ya milioni 50 Kote nchini, hatua hiyo inazidi kupata pingamizi miongoni mwa wafugaji katika kaunti ya Kajiado. Baadhi ya Viongozi wa kaunti hiyo wanasema kamwe hawataruhusu mifugo wao kuchanjwa.