Baadhi ya viongozi wamtetea Rais Ruto, wahimiza Wakenya kumpa muda

  • | KBC Video
    72 views

    Viongozi wa mrengo wa Rais William Ruto wametetea rekodi ya maendeleo ya serikali na kuwahimiza wakenya kumuunga mkono Rais anapotekeleza manifesto yake. Wakati uo huo wamewakosoa baadhi ya viongozi wasiofurahia serikali jumuishi wakisema wanatetea maslahi yao ya kisiasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive