Baadhi ya wafadhili wa kupambana na HIV wajiondoa

  • | Citizen TV
    96 views

    Wadau katika sekta ya kinga ya virusi vya ukumwi wanataka serikali kutenga fedha zaidi kwa ajili ya matibabu .