Fedha zitasaidia wananchi kupata huduma tofauti mashinani

  • | Citizen TV
    35 views

    Muungano wa wawakilishi wa kike umelalamikia mgao finyu wa hazina ya NGAF na kuapa kuendelea kushinikiza nyongeza ya mgao huo ili kuwaezesha kukidhi mahitaji ya Wananchi. Wametetea hazina hiyo wakisema imeimarisha ya kina mama kupitia makundi pamoja na wale wanaoishi na ulemavu na watu wasiojiweza katika jamii.