Baadhi ya wawakilishi wadi kaunti ya Nyamira wamkosoa gavana Nyaribo

  • | Citizen TV
    484 views

    Baadhi ya wawakilishi wadi katika bunge la kaunti ya Nyamira wameendelea kumsuta Gavana Amos Nyaribo kwa madai ya kuchangia mzozo wa uongozi unaoendelea katika bunge hilo.