Barabara itaunganisha zaidi ya kaunti nne Mlima Kenya

  • | Citizen TV
    1,264 views

    Ujenzi wa barabara ya Mau Mau inayounganisha kaunti nne, ambazo ni Nyeri, Murang'a, Kiambu, na Nyandarua unaendelea kwa mwendo wa kasi baada ya ujenzi huu kurejelewa baada ya kuwa umesitishwa mwaka wa 2024