- 14,468 viewsDuration: 4:02Barabara kuu ya Mombasa kuelekea Malindi inatazamiwa kufunguliwa kwa umma katika siku 10 zijazo ili kutoa fursa kwa watalii na kupunguza msongamano mkubwa unaoshuhudiwa kila siku katika maeneo ya nyali centre hadi mtwapa. Kulingana na mamlaka ya ujenzi wa barabara kuu Kenha pia asilimia 90 ya ujenzi wa daraja la kwa Jomvu katika barabara kuu ya mombasa kuelekea Nairobi imekamilika