Baraza la Magavana lapanga kupinga agizo la Nyakang’o kuhusu buradha

  • | NTV Video
    132 views

    Baraza la Magavana limetangaza mipango ya kupinga kortini agizo la Mdhibiti wa Bajeti, Margaret Nyakang’o, linalozuia serikali za kaunti kutoa buradha.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya