Baraza la magavana latishia kumpeleka mdhibiti wa bajeti Margaret Nyakang’o mahakamani

  • | K24 Video
    31 views

    Baraza la magavana limetishia kumpeleka mdhibiti wa bajeti Margaret Nyakang’o mahakamani kufuatia uamuzi wake wa kukataa kuidhinisha fedha za kufadhili masomo. Magavana vilevile wametishia kuandaa maandamano ya kuwapeleka wanafunzi na wazazi kwa ofisi ya Nyakang’o kama njia ya kumrai asikize kilio chao