Baraza la muungano wa makanisa nchini, NCCK yapiga marufuku semi za wanasiasa kanisani

  • | Citizen TV
    584 views

    Baraza La Muungano Wa Makanisa Nchini Ncck Limekuwa La Punde Kutoa Msimamo Mkali Dhidi Ya Hotuba Za Kisiasa Kanisani. Baraza Hilo Pia Likikomesha Kutangaza Michango Ya Kifedha Ya Wanasiasa Katika Harakati Za Kuzingatia Heshima Ya Madhabahu. Haya Yanajiri Huku Rais William Ruto Aliyehudhuria Ibada Katika Kanisa La Aic Jericho Hapa Nairobi Leo, Akiahidi Kuendelea Na Michango Hiyo, Kama Emmanuel Too Anavyotuarifu