Basari kwa wanafunzi Wajir

  • | Citizen TV
    236 views

    Mpango wa basari wa shilingi milioni 42 umezinduliwa katika eneo bunge la Tarbaj utakaowafaidi zaidi ya wanafunzi 5,500.