Basi la Kampuni ya Tahmeed lahusika kwenye ajali ya barabarani

  • | KBC Video
    1,114 views

    Watu kumi wanauguza majeraha katika hospitali ya mafunzo na matibabu maalum ya Coast General, baada ya basi la kampuni ya Tahmeed walimokuwa wakisafiria kugongana na gari la abiria leo asubuhi. Kulingana na walioshuhudia, ajali hiyo ilitokea mwendo wa saa tano asubuhi, wakati basi hilo lilipata hitilafu ya breki lilipokuwa likipanda mlima na kurudi nyuma na kugonga matatu iliyokuwa ikielekea Mikindani katika mapito ya juu kwa juu ya Kibarani

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive