BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    31 views
    Je, uko tayari kubadilishiwa mtazamo wa uhalisia? Basi weka kando dakika chache na ujiunge nasi kwenye safari ya kuvutia katika Makavazi ya kisasa ifahamikayo kama ‘Museum of Illusions’ jijini Nairobi, Kenya. Hii ni makavasi mpya zaidi katika mtandao, ambapo ina maonesho ya kipekee kutoka kwa wabunifu wa Kenya. Mwandishi wa BBC Njoroge Muigai meandaa taarifa hii; Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw