BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    684 views
    “Nilikuwa naambiwa waziwazi, msichana gani huyu? atashindana na serikali? Jamii imekaa na ndoa za utotoni muda wote huo, wewe ndiye utabadilisha? Nani atamuoa binti huyu” - Rebeca Gyumi @rebecagyumi ni mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji katika taasisi ya @msichanainitiative, aliteka vyombo vya habari mwaka 2016 baada ya kufungua kesi dhidi ya serikali ya Tanzania akipinga sheria ya ndoa inavyoruhusu mtoto wa kike kuolewa akiwa na umri wa miaka 14. #bbcswahili #waridiwabbc #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw