BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    12,120 views
    Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimesema kuwa kinatarajia kutumia nguvu ya umma kwa mujibu wa sheria kushinikiza uwajibikaji wa serikali kutokana na matukio ya kukamatwa,kuteshwa na kuuawa kwa viongozi upinzani. Hata chama hicho kimeatoa maalum wa serikali kuwaachilia viongozi wote wanaoshikiliwa kinyume cha sheria ama kurejeshewa miili yao iwapo wameuawa ama wamefariki. Mwandishi wa BBC @Leonard Mubali amefanya mahojiano na makamu mwenyekiti wa Chadema taifa Tundu Lissu. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw