BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    10 views
    Tazama namna maporomoko ya udongo yalivyoharibu karakana na magari matatu katika video hii iliyorekodiwa na mtoto wa mwenye nyumba huko North Carolina. Kimbunga Helene kimepiga katika majimbo mengi ya Marekani na zaidi ya watu 600 hawajulikani walipo. #bbcswahili #marekani #kimbunga Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw