BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    0 views
    Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua anakabiliwa na mchakato wa kwanza wa kumuondoa madarakani katika historia ya nchi hiyo, ambao unaweza kumsimamisha kabisa kushikilia wadhifa wake. - Gachagua anakabiliwa na madai kadhaa, yakiwemo ufisadi, kumhujumu rais, na kuchochea mgawanyiko wa kikabila madai ambayo ameyakanusha. - Katika video hii, Mwandishi wa BBC Jewel Kiriungi anaeleza matukio yaliyopelekea hali hii na kinachotarajiwa kufuata. - - Picha: Anthony Irungu Mtayarishaji: Clare Muthinji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw